UPENDO:DIAMOND HAJUI MAPENZI
Mrembo ‘five star’ kutoka ndani ya kiwanda cha filamu Bongo, Upendo Moshi , amefunguka kuwa uhusiano alikuwanao awali na nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ndiyo uhusiano mbovu zaidi kuliko yote aliyowahi kuwa nayo.
Upendo aliyeng’arisha nyota yake kupitia kipindi cha maisha Plus kilichokuwa kinarushwa na kituo himoja cha runinga ameiambia Teentz.com kuwa katika kipindi chote cha miezi 5 alichokaa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Diamond hakuwahi kufurahia tendo la nd** kila walipokuwa wakidondoka ‘on bed’.
Nimekuwa na uhusiano wa mapenzi na Diamond kwa miezi mitano, lakini hata mara moja hakuwahi kunifikisha kil***ni, kwangu mimi namuona kuwa ndiye mwanaume asiyejua mapenzi kabisa miongoni mwa wale niliowahi kukuta nao” alisema Upendo huku akicheka
Akiendelea zaidi upendo alifunguka kuwa anashangaa mno kuona wasichana wanapigana vikumbo mtaani kwa sababu ya mtu huyo akiamini kuwa huenda umaarufu wa kijana huyo anayeitawala anga ya muziki hizi sasa hapa nchini ndiyo pekee unaomfanya kugombaniwa ingawa yeye haoni kama ni mwanaume rijari wa kweli mwenye kujua kumridhisha mwanamke kitandani
“Nashangaa wanamgombea, lakini aah! acha wapigane vikumbo lakini kwangu mimi najua Diamond hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kitandani” alisema Pendo.
No comments:
Post a Comment