John Mnyika.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo
(Chadema), Mhe. John Mnyika ametolewa nje ya bunge muda huu na Naibu
Spika, Job Ndugai baada ya kukataa kufuta kauli yake kuwa Rais Kikwete
ni dhaifu wakati alipotakiwa kufanya hivyo. Mnyika ametolewa nje ya
bunge wakati wabunge wakichangia mjadala wa bajeti ya serikali mwaka wa
fedha 2012/13 iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni. Mnyika atarudi
bungeni kesho saa tatu asubuhi.
No comments:
Post a Comment