Saturday, June 16, 2012

NEY WA MITEGO: NAPIGA KICK BOXER

 I con wa muzikiwa hip hop Bongo, Ney wa mitego ametoa tahadhari kwa watu wanaopanga kufanyia jambo lolote mtaani kuwa haogopi kukabiliana mtu yeyote.


I con wa muzikiwa hip hop Bongo, Ney wa mitego ametoa tahadhari kwa watu wanaopanga kufanyia jambo lolote mtaani kuwa haogopi kukabiliana mtu yeyote.
Akizungumza na Teentz.com, Ney amefunguka kuwa ni mpiganaji mzuri wa mchezo wa kick Boxer, ingawa hakuwahi kupanda ulingoni kupigana pambano lolote la kuwania mkanda.
“Kabla sijaingia kwenye muziki nilikuwa nafanya mazoezi ya kick box kwa sababu ndiyo mchezo ninao upenda kutoka moyoni,sijawahi kupigana ulikoni lakini niko vizuri, kwa hiyo naomba watu wasinichukulie poa mi napiga ngumi na mateke vibaya kiasi kwamba mtu akinijia ovyo nitamtoa roho” alisema Ney.
Akiendelea zaidi nyota huyo anayesumbua na ngoma yake mpya iliyepewa jina la ‘Nasema nao’ ameamua kuwachana baadhi ya wasanii kupita wimbo huo ili wajitambua na kuacha tabia za kutaka kutukuzwa na kujitangazia maisha mazuri wakati maish ayao ni ya kawaida.
“Siogopi hilo , nimewachana kwa sababu nataka kuwabadilisha wajitambue na kuacha kujisikia kwani maisha wanayoishi ni sawa na watu wengine na kama ikitokea mtu akatafsiri vibaya niko tayari kwa lolote” alisema Ney.
................

No comments:

Post a Comment