Saturday, June 16, 2012

ALLY KIBA AIBUKA, AKANUSHA KU***A

 Handsome anayenga'arisha nyota yake kupitia muziki wa kizazi kipya Bongo Ally Kiba ameibuka na kutupilia mbali tetesi zilizo zagaa mkitaa yote ya jiji la Bongo wiki mbili  zilizopita kuwa  kuwa  amefanyiwa 'kitu mbaya' na watu wasiojulikana.
Katika 'interview' ya dakika 20 aliyofanya na  Teentz.com  Kiba  amefunguka kuwa, kuna jamaa mmoja (jina kapuni) aliyekuwa wanaishi nae  nyumbani kwao kama ndugu, lakini baadae waliamua kumtimua baada ya kugundua kuwa ana tabia za udokozi  kuwa ndiye aliyeeneza  maneno hayo mtaani kuwa  yeye (Kiba) amef***a.
"Siyo kweli bwana  ni stori tu ambazo binafsi nimezikia, lakini ukweli kuwa huyo jamaa  ndiye anaepakaza mtaani na kibaya zaidi ana waambia watu kuwa kuwa  yeye  ndiyo alikuwa wa kwanza  kuni***a" halafu wakafuata watu wengine" alisema Kiba.
katika hatua nyingine nyota huyo wa  wimbo wa 'Dushelele' ameandaa mtego maalum wa kumnasa jamaa huyo anayechafua jina lake ili amuweke hadharani na hatimaye kumfungulia mashtaka.

No comments:

Post a Comment